Kikosi cha Simba SC kinachoanza leo dhidi ya Ihefu kimetoka lakini habari ya kushangaza zaidi ni kukosekana kwa wachezaji tegemezi wa kikosi cha kwanza.

Wachezaji hao ni Clatous Chama, Saidoo Ntibazonkiza, Mohammed Hussein, Shomari Kapombe, Sadio Kanoute, Aish Manula, Beno Kakolanya, Erasto Nyoni, Mosses Phiri. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
Huku kikosi kinachoanza leo ni Ally Salim, Israel Mwenda, Gadiel Michael, Kennedy Juma, Nasoro Kapama, Ismael Sawadogo, Joash Onyango, Mzamiru Yassin, Pape Sakho, Habibu Kyombo, Jean Baleke, na Kibu Denis. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Wakati huo kikosi cha Ihefu kinachoanza ni kama ifuatavyo: Mapara, Wadada, Mbegu, Nyoso, Kissu, Onditi, Loth, Adam, Muhindi, Chirwa, Yacouba Sogne.
Rekodi za Ihefu dhidi ya timu za Dar msimu huu kazifunga zote kasoro Simba SC Leo. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Ihefu 2-1 Yanga SC
Ihefu 1-0 Azam FC
Ihefu 1-0 KMC FC
Ihefu vs Simba SC ?

