Klabu ya Singida BS imesonga mbele kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika baada ya kumfunga JKU ya Zanzibar kwa jumla ya aggregate (4-3) kwenye michezo yote miwili.

Mechi ya kwanza, Singida alishinda kwa mabao 4-1 huku timu hiyo ambayo ipo chini ya kocha mkuu Pluijm ikionekana kuwa na nafasi kubwa ya kusonga mbele kwenye michuano kirahisi.
Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.
Lakini haikuwa hivyo kama ambavyo watu wengi walifikiria kwani jana kwenye mechi ya pili ya marudiano, JKU alipachika mabao 2-0 mpaka dakika zote kukamilika na kufanya mchezo kuw ana presha kwa upande wa Walima alizeti.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Kutokana na timu hiyo kutoka Tanzania Bara kujipanga vizuri basi mechi hiyo iliweza kumalizika kwa wao kupoteza lakini kusonga mbele kwenye michuano hiyo kutokana na mabao mengi ambayo waliyafunga kwenye mchezo wa kwanza.

