Simba Ugenini Leo Dhidi ya Fountain Gate

Ligi kuu ya NBC Tanzania inatarajiwa kuendelea leo hii kwa michezo miwili ambapo mchezo wa mapema kabisa ni huu wa Fountain Gate dhidi ya Simba.

Simba Ugenini Leo Dhidi ya Fountain Gate

Mchezo huo utapigwa majira ya saa 10:00 jioni katika dimba la Sheikh Amri Abeid Karume huku ushindi ukiwa ni muhimu sana kwa timu zote mbili.

Simba wametoka kutoa suluhu kwenye mechi yao iliyopita na kuangusha pointi 2 huku Fountain Gate wao wametoka kupoteza ugenini kwa mabao mengi kabisa na kufanya wazidi kuwa kwenye hali mbaya kwenye msimamo wa ligi.

Mpaka sasa timu hiyo ipo kwenye nafasi ya 14 wakiwa na pointi 16 kwenye michezo 17 waliyocheza hadi sasa, yaani wanatakiwa kufanya kila wawezalo kwenye mechi zao ambazo zimesalia wapata matokeo chanya.

Simba Ugenini Leo Dhidi ya Fountain Gate

Wakati huo huo vijana wa Berker wanataka pointi 3 za uhakika kwani la sivyo hata nafasi ya pili wasipoangalia inaweza ikawa ni ngumu kwao hadi sasa.

Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho kukutana hawa wawili, Wekundu wa Msimbazi wlaiondoka na ushindi nyumbani, hivyo leo hii ni siku ya Fountain kulipa kisasi. Je Simba watakubali kupoteza mechi hii siku ya leo?

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.