Ferguson Ajiunga na Palace.

 


Crystal Palace wamemsajili beki Nathan Ferguson bila ada yoyote baada ya mkataba wake na kikosi cha West Bromwich Albion katika Ligi ya Daraja ya Kwanza nchini Uingereza (Championship) kutamatika.

Chipukizi huyo wa timu ya Uingereza amesaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia Palace.

Nathan, 19, alikataa ofa ya kurefushwa kwa kandarasi yake kambini mwa Albion waliomsajili akiwa mtoto wa umri wa miaka minane.

 

Ferguson Ajiunga na Palace.

“Ferguson ni sajili bora zaidi kwetu. Ni miongoni mwa wanasoka ambao tumekuwa tukiwafuatilia kwa kipindi kirefu na ni afueni kubwa kwamba hatimaye tumejinasia huduma zake,” akasema Mwenyekiti wa Palace, Steve Parish.

Beki huyo alikuwa pua na mdomo kuingia katika sajili rasmi ya Palace mnamo Januari 2020 kabla ya uhamisho wake kugonga ukuta kutokana na jeraha la goti.

“Nahisi kwamba kuna mengi mazuri ambayo ninaweza kufanyia kikosi cha Palace. Nimefurahi sana kuingia katika sajili rasmi ya kikosi hiki ambacho nimekuwa pia nikiotea kukichezea,” akasema Ferguson baada ya kutia kidole kwenye mkataba aliopokezwa uwanjani Selhurst Park.


Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.

Soma Zaidi

45 Komentara

    Sijatarajia WBA kupoteza mchezaji wakati huu imepanda EPL #meridianbettz

    Jibu

    Safi sana ferguson#meridianbettz

    Jibu

    Hongera kwako ferguson kwa kusaini mkataba wa miaka 3 kila kheri broo

    Jibu

    Safii sana Ferguson#Meridianbettz

    Jibu

    Safii sanaa hii

    Jibu

    Kila la heri Nathan Ferguson, Have a bright future ahead

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Kila la kheri Ferguson

    Jibu

    Maisha popote pale kila lakheri furguson

    Jibu

    Safi sana ferguson

    Jibu

    safi sana Ferguson .

    Jibu

    Safii sana

    Jibu

    Habar njema hii

    Jibu

    Kila la heri Ferguson

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safi

    Jibu

    kila la kheri Ferguson

    Jibu

    Pongezi kwa Nathan amekua akifanya vizuri

    Jibu

    Beki huyo alikuwa pua na mdomo kuingia katika sajili rasmi ya Palace mnamo Januari 2020 kabla ya uhamisho wake kugonga ukuta kutokana na jeraha la goti.

    Jibu

    Hongera sana.

    Jibu

    Safi sanaa

    Jibu

    anaonekana Kijana yupo vizuri huyo

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Habar njema kwa mashabik wa palace

    Jibu

    Safi sanaaa

    Jibu

    Kijan katangulia ligi kuu

    Jibu

    Nathan Ferguson n bonge la bek sijajua WBA wamefikilia nn mpk kufikia hatua ya kumuacha Ferguson bek mzur aondoke bila kusikia tetes kama za usajili huko

    Jibu

    Hongera nathan#meridianbett

    Jibu

    Safi sanaa

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Habari njema hizo

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Maoni:Habari njema

    Jibu

    Safiiii sana ferguson

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Ameangalia upepo unavumia wap ndo maana ametoka wba me naona amecheza eko #meridianbettz

    Jibu

    hongera Ferguson kwa kusaini mkataba wa miaka 3

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Habari njema Sana

    Jibu

    Crystal wamefanya usajili wa maana pia ferguson ni beki kisiki mno

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Habari njema kwa wana palace.

    Jibu

    Ndio timu ambayo Ndio saizi take kwa kuichezea na nafasi ataipataa bila Shaka kabisa

    Jibu

    Safi sana Ferguson anajua bwana#Meridianbettz

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.