Chris Eubank Jr anasema katika pambano la masumbwi linalotegemewa kuwakutanisha Saul Canelo Alvarez na Callum Smith litakuwa gumu lakini Canelo ana nafasi kubwa ya ushindi.
Eubank Jr anasema udhaifu aliouonyesha Smith katika pambano lililopita litafanya mchezo huo kuwa wa upande mmoja dhidi ya Saul ‘Canelo’ Alvarez.

Smith na Canelo ambao hawajapoteza pambano, watapambania mkanda wa uzito wa kati wa WBA na WBC siku ya Jumamosi usiku pale Texas, Marekani.
“Litakuwa pambano la upande mmoja kwa faida ya Canelo.
“Baada ya kumuangalia Smith dhidi ya John Ryder, alionyesha udhaifu mkubwa katika mchezo wake.
“Canelo ni mzuri, mzuri zaidi kuliko Ryder.
“Smith atapata atakuwa katika matatizo katika pambano hilo. Sioni akifanya vizuri.” Eubank Jr aliliambia Sky Sports.
BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!



Shakila mrope
Kila mtu anjiona bora mm naona wote ni bora
Adelta
Tunasubiri tuone na zaidi kwa sababu pambano litakuwa la aina yake
Khadija
Lazima kila m2 ajione bora kwa mwenzake
Sarah
Mpambano ndio utaonyesha nani zaidi
Rahma
Tunasubilia tuone mpambano utakavyokuwa
Mwanahamisi
Tunasubili tuone
Caroline
Ayo ni mawazo yake
Dorophina
Chris yupo sahihi ila ngoja tusubilie mpambano tuone itakavyokuwa
Hopemwaikuka
Mtazamo wake
Issa
Canelongumi jiwe
Saupha mohamed
Mawazo yake
Fatuma kasomo
Nimtazamo
neema hassan
Aache maneno tusubr pambno
samiah
Nijuu yake
Lydia Emmanuel Magoti
Duu pambano gumu hilo
Samira
Kila mmoja ni bora kwa mwenzie
felister
tusubirie tuone
Tatu
Ngoja tuone
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif meridianbet
warda
Hayo ni mawazo yake