Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane amemsifu mshambuliaji wa timu hiyo Karim Benzema kama mshambuliaji bora wa Ufaransa kuwahi kutokea baada ya kuisaidia timu yake kupata ushindi dhidi ya Athetic Bilbao.

Benzema alifunga magoli mawili wakati Madrid wakiwafunga Athetic 3-1 na kufikia alama sawa na Real Sociedad na Atletico katika uongozi wa jedwali la Laliga.

 

zidane, Zidane : Benzema Mshambuliaji Bora wa Ufaransa Kuwahi Kutokea., Meridianbet

Karim amefikisha magoli 10 katika mashindano yote msimu huu, ikiwa ni zaidi ya mchezaji yeyote wa La Liga.

Alipoulizwa kama Benzema ni Mshambuliaji bora wa Ufaransa Zidane alijibu, “Kwangu Ndiyo, kwa kuongeza kwa anachokifanya, anachokionyesha, amekuwepo Real Madrid kwa muda mrefu.

“Zaidi ya Mechi 500, magoli yote, rekodi zake. Alichokifanya kinajieleza chenyewe. Kwangu ni bora, ipo wazi kabisa.” aliongeza Zidane.


BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!

zidane, Zidane : Benzema Mshambuliaji Bora wa Ufaransa Kuwahi Kutokea., Meridianbet

INGIA MCHEZONI!

19 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa