Simba SC : Ahmed Ally Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano.

Klabu ya Simba SC imemtangaza Ahmed Ally kama mkuu wa habari na mawasiliano wa klabu hiyo kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa kaimu Ezekiel Kamwaga.

 

Ahmed Ally anajiunga na Simba SC akitokea katika kampuni ya Azam Media aliyokuwa akitumikia kama mtangazaji wa habari za michezo na mchambuzi katika TV.

Katika kurasa za kijamii za klabu ya Simba SC wamemkaribisha Afisa habari wao mpya kwa maneno yafuatayo,

“Ni kijana mchapakazi, mwenye uhusiano mzuri na watu wa aina zote, mtanashati na kubwa zaidi mapenzi yake kwa Simba hayapimiki.

Ahmed Ally karibu kwenye klabu ya maisha yako kuwatumikia Wanasimba kama Afisa Habari na Mawasiliano.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.