Ancelotti Afanya Maamuzi Juu ya Isco!

Carlo Ancelotti anaripotiwa kuwa amefanya maamuzi juu ya uwepo wa nyota wake Isco Alarcon pale Real Madrid.

Isco amekuwa na wakati mgumu sana kupata nafasi kwenye kikosi cha Real Madrid. Mechi ya Jumapili dhidi ya Getafe alitokea Benchi wakichapwa bao 1-0 ugenini.

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya nchini Uhispania, Ancelotti bado hamuhesabii Isco kwenye mipango yake, na yupo tayari kuendeleza gurudumu la kikosi bila uwepo wake.

Ancelotti and Isco
Ancelotti anatajwa kutokuwa na mpango tena na Isco kwenye kikosi chake.

Wakati Ancelotti akifanya maamuzi juu ya Isco, Griezman Anarejea Dimbani baada ya kupata majibu ya kutokuwa na maambukizi ya Corona.

Griezmann anarejea dimbani akitoka karantini baada ya kupata maambukizi ya Corona. Baada ya vipimo, sasa anarejea mazoezini na kushiriki na wanakikosi wenzake.

Wachezaji wengi wa La Liga, walipata majibu ya kuwa na virusi vya Corona baada ya kurejea kutoka kweye likizo ya Christimas.


Tengeneza Faida na Zeus Ancient Fortunes

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Cheza hapa

 

Acha ujumbe