Coutinho Kuweka Wazi Kusalia/Kuondoka Barcelona.

 

Mshambuliaji wa klabu ya Barcelona, Philippe Coutinho anatarajia kuweka wazi mustakabali wake ndani ya klabu hiyo baada ya kuwa ameshafanya maamuzi yake binafsi.

 

 

Klabu ya Aston Villa ni moja ya vilabu ndani ya EPL vinavyowania saini ya mchezaji huyo anayetaka kurejea Uingereza kuweza kupata muda wa kucheza zaidi.

Coutinho anasemekana yupo tayari kujiunga na Aston Villa wanaoshikilia nafasi ya 13 katika msimamo wa ligi ya EPL kwakuwa klabu hiyo ina mipango bora zaidi.

Coutinho pia anafahamiana na meneja wa sasa wa Villa, Steven Gerrard ambaye walicheza pamoja kwa misimu miwili na nusu wakiwa Liverpool na hiyo inaweza kuwa sababu nyingine kujiunga na klabu hiyo.

Philippe alisajiliwa Barcelona akitokea Liverpool kwa rekodi ya klabu ya dau la £146m mwezi January mwaka 2018 lakini alishindwa kufanya vizuri Camp Nou kutokana na majeraha.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.