Mudryk: Upweke Ndani ya Chelsea | Afikiria Kuishi na Familia Yake

Mykhailo Mudryk tayari anapanga kufanya mabadiliko ya mtindo wa maisha ili aendelee kudumu Chelsea na kuwa na kiwango bora kwa siku zijazo. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

mudryk

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ukraine alisajiliwa na Chelsea, licha ya kutakiwa na Arsenal, katika dirisha la Januari kwa ada ambayo inaweza kupanda hadi paundi milioni 88.

Lakini mpaka sasa Mudryk haijafanikiwa kabisa kuonesha makali yake kwenye eneo la pembeni (winga), ambapo mpaka ana asisti moja katika mechi tisa alizocheza na The Blues. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Imeenda sambamba na hali ya kushangaza pale Stamford Bridge ambayo tayari imeshuhudia Graham Potter akitolewa huku klabu ikishuka kiwango.

Hata hivyo Mudryk ameamua kuleta familia yake kutoka Ukraine ili kumsaidia kuishi London Magharibi, kwa mujibu wa ripoti ya The Sun. 

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 amekuwa akijisikia mpweke baada ya kubadilisha maisha katika nchi yake ya asili na kuelekea Uingereza na wazazi wake wanaweza kuungana naye hivi karibuni katika mji mkuu ili kumsaidia kuzoea mazingira yake mapya.

Imekuwa badiliko la tetemeko kwa kijana huyo tangu kuondoka Shakhtar Donetsk. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.