Madrid Inahitaji Zabuni Kubwa Kumpa Mbappe Kutoka PSG

Real Madrid lazima walete ofa nono ikiwa wanataka kuwashawishi Paris Saint-Germain kumuuza Kylian Mbappe msimu huu wa joto.

 

Madrid Inahitaji Zabuni Kubwa Kumpa Mbappe Kutoka PSG

Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa amekuwa katikati ya sakata kubwa ya uhamisho ambayo ilimfanya kufukuzwa kwenye kikosi cha kwanza kabla ya kukaribishwa na kocha Luis Enrique wiki chache baadaye.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Mbappe mwenye miaka 24, amekataa kusaini mkataba mpya na mabingwa hao wa Ligue 1 na anatazamiwa kuona mwaka wa mwisho wa mkataba wake kabla ya kuhamia 2024.

Madrid Inahitaji Zabuni Kubwa Kumpa Mbappe Kutoka PSG

Kuna nafasi ndogo kwamba mshindi wa Kombe la Dunia anaweza kuondoka mapema lakini ikiwa tu Madrid watalipa zaidi ya pauni milioni 210, kulingana na vyanzo vya Uhispania.

Ni bei ambayo haiwezekani kuwachochea wababe hao wa LaLiga kuharakisha nia yao ya kumnunua nambari 7 wakati wanaweza kumngoja ajiunge bila malipo msimu ujao wa joto.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Madrid Inahitaji Zabuni Kubwa Kumpa Mbappe Kutoka PSG

Hata hivyo, vyanzo vimedokeza kuwa haviwezi kukataa Madrid kufanya juhudi za mwisho kumleta supastaa huyo Santiago Bernabeu katika siku za mwisho za dirisha la uhamisho.

Mbappe alifunga mabao 41 na asisti 10 katika michuano yote msimu uliopita lakini aliachwa nje ya ziara ya PSG ya kujiandaa na msimu mpya nchini Japan na Korea Kusini kutokana na migogoro na wamiliki wa Qatar.

Mvutano umepungua na mshambuliaji huyo alilenga shabaha katika sare ya 1-1 Jumamosi iliyopita huko Toulouse.

Acha ujumbe