Polisi Tanzania Yamfuta Kazi Kocha Wao Joslin Sharif

Klabu ya Polisi Tanzania imemtimua Kocha wake Joslin Sharif Bifubusa na kulivunja bench lote la ufundi , kutokana na kutoridhidhshwa na mwenendo wa timu hiyo.

 

Polisi Tanzania Yamfuta Kazi Kocha Wao Joslin Sharif

Joslin ambaye aliajiriwa kuwa Kocha mkuu wa timu hiyo mwezi Julai 26 mwaka huu, amedumu kwa kipindi cha miezi mitatu huku ujio wake klabuni hapo kutobadilisha chochote kwa Polisi.

Polisi Tanzania msimu huu wameanza vibaya sana licha ya kusajili wachezaji kadhaa na wengine kutimka, ambapo mpaka sasa ndio wanaoshikilia mkia kwenye msimamo wa Ligi kuu ya NBC wakiwa nafasi ya 16.

Polisi Tanzania Yamfuta Kazi Kocha Wao Joslin Sharif

Wamecheza michezo saba na kati ya hiyo michezo saba hakuna mchezo walioshinda, wamepata sare moja na wamepoteza michezo mitano na pointi zao mbili kibindoni. Kesho watakuwa nyumbani kuwakaribisha Namungo kwenye mchezo wao wa raundi ya 8.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.