Simba Hawana Huruma Kwa Fountain Gate Leo
Seleman Matola kocha msaidizi wa Simba SC amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara ya NBC dhidi ya Fountain Gate unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa jioni ya …
Eze Azidi Kung’ara, Arteta Asema Bado Kuna Mengi Zaidi
Mikel Arteta, ameonyesha imani kubwa kwa Eberechi Eze baada ya kiungo huyo kufunga bao lake la kwanza kwa klabu hiyo katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Port Vale kwenye Kombe …
TRA United SC Yatua Rasmi Dar es Salaam
Klabu ya Tabora United, iliyokuwa ikiwakilisha mkoa wa Tabora katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, sasa imeingia katika sura mpya baada ya kununuliwa rasmi na Mamlaka ya Mapato Tanzania …
Mourinho Arudi Benfica Baada ya Miaka 25
Kocha maarufu duniani, Jose Mourinho, ametangazwa rasmi kuwa meneja mpya klabu ya Benfica ya Ureno, akirejea katika klabu aliyowahi kuinoa miaka 25 iliyopita. Mourinho, mwenye umri wa miaka 62, amesaini …
JKT Queens Waibuka Mabingwa CECAFA 2025
Rasmi sasa Mabingwa wa soka la wanawake Tanzania, JKT Queens, wameandika historia nyingine kubwa ya kuvutia baada ya kutwaa taji la Mashindano ya CECAFA Women’s Championship 2025. Mabingwa hawa wa …
Yanga Na Kipigo Cha 6 Kwa Mtani
Klabu ya Yanga SC chini ya Kocha wake Mkuu, Romain Folz imetwaa taji la Ngao ya Jamii kwa ushindi mbele ya watani zao wa jadi Simba SC katika mchezo uliochezwa …
Ligi ya Mabingwa (UEFA) Kuanza Kutimua Vumbi Leo
Je unajua kuwa leo hii usiku wa Ulaya (UEFA) unaanza?. Timu mbalimbali kutoka Mataifa mbalimbali zinachuana vikali kusaka pointi tatu muhimu. Leo hii kuna Arsenal. Real Madrid, PSV na wengine …
Chama Aipa Ubingwa Wa Kwanza Singida Black Stars 2025
Kiungo mpya wa Klabu ya Singida Black Stars, Clatous Chama ameipa ubingwa wa kwanza timu hiyo baada ya kufunga mabao mawili katika mchezo wa fainali Kagame Cup 2025 dhidi ya …
Simbu Aweka Rekodi Mbio Za Marathoni 2025
Mtanzania Alphonce Simbu ameweka historia mpya katika riadha ya kimataifa baada ya kushinda medali ya dhahabu kwenye mashindano ya mbio za Dunia yaliyofanyika jijini Tokyo, Japan. Katika mbio za kilomita …
Manchester City Yawachakaza United 3-0 Ligi Kuu
Manchester City imerejea kwa kishindo kwenye njia ya ushindi baada ya kuicharaza vikali Manchester United kwa mabao 3-0 kwenye mchezo wa derby ya Manchester. Erling Haaland na Phil Foden waliibuka …

