Salah Awapa Ushindi Liverpool Dakika za Jioni
Liverpool wameendeleza rekodi yao ya ushindi katika Ligi Kuu ya Uingereza kwa kuibuka na ushindi wa bao 1–0 dhidi ya Burnley, kwenye mchezo uliochezwa ugenini katika uwanja wa Turf Moor. …
Yanga Vs Simba Yamebaki Masaa Machache
Mashabiki wa soka nchini wapo kwenye hekaheka za kusubiri pambano kubwa zaidi la mpira wa miguu kwa ngazi ya klabu, Dabi ya Kariakoo, ambapo vigogo wa Tanzania Bara, Yanga SC …
Vardy Afungua Ukurasa Mpya Italia
Mshambuliaji wa zamani wa Leicester City, Jamie Vardy, ameanza rasmi sura mpya ya maisha yake ya soka kwa kujiunga na klabu ya Serie A ya Cremonese, akisisitiza kuwa “umri ni …
Simba SC Yatangaza Rasmi Kikosi Kipya 2025/26
Ikiwa ni siku iliyosheheni shamrashamra na hisia za mashabiki wa soka, Simba SC imetangaza rasmi kikosi chake cha msimu wa 2025/2026 kupitia tamasha la Simba Day lililofanyika kwenye Uwanja wa …
Real Betis Wabadili Mustakabali Wa Mkataba Wa Antony
Klabu ya Real Betis imethibitisha kumsajili rasmi Antony kutoka Manchester United kwa ada ya awali ya pauni milioni 19. Hata hivyo, maelezo ya kina ya makubaliano hayo yameonyesha mabadiliko makubwa …
Alcaraz Ajiondoa Davis Cup Baada ya Kutwaa Taji la US Open
Nyota wa tenisi kutoka Hispania, Carlos Alcaraz, ametangaza kujiondoa katika mashindano ya kufuzu Davis Cup dhidi ya Denmark wiki hii, licha ya kujumuishwa awali kwenye kikosi cha taifa. Uamuzi huo …
Leo Afrika Ni Ya Moto Kufuzu Kombe la Dunia 2026
Soka la Afrika linaendelea kushika kasi huku hatua ya kufuzu Kombe la Dunia 2026 ikifikia Raundi ya 8. Timu kadhaa kubwa zipo uwanjani leo, zikisaka pointi muhimu zinazoweza kufungua milango …
Yanga Yafungua Ukurasa Mpya, Mkutano Mkuu 2025
Klabu ya Yanga SC imeandika historia mpya katika safari yake ya ukuaji baada ya kufanikisha Mkutano Mkuu wa Wanachama (AGM) wa mwaka 2025, ambapo maamuzi na mipango mikubwa yamepitishwa kwa …
Karia Awaonya Waamuzi Kuelekea Msimu Mpya
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, ametoa onyo kali kwa waamuzi wote watakaoshiriki katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu ujao, akieleza wazi kwamba hakuna utaratibu wa …
AS Roma Inamhitaji George wa Chelsea
AS Roma bado wanapigania usajili wa Tyrique George, lakini mpango wa kubadilishana Gimenez-Dovbyk na Milan wapoa tena. Kuna taarifa zinazoendelea kuripoti kwamba Roma wanatumaini kumsajili Tyrique George kutoka Chelsea siku …

