Crystal Palace Kumpiga Marufuku Shabiki Baada ya Kumfanyia Ubaguzi Son
Klabu ya Crystal Palace imeahidi kumpiga marufuku mtazamaji ambaye alidaiwa kumfanyia ubaguzi wa rangi mshambuliaji wa Tottenham, Son Heung-min wakati wa mechi ya jana. Kanda za video zimesambaa kwenye …
Gundogan Ameinua Mikono Yake juu Baada ya Kukosa Penalti Katika Ushindi wa Jana
Ilkay Gundogan amekubali mgawo wake wa lawama baada ya viongozi wa Ligi kuu ya Uingereza Manchester City kushindwa kupata mkwaju wa penalti dhidi ya Leeds wanaokabiliwa na hatari ya kushuka …
Yanga Yapigwa Faini na CAF | Makosa ni Haya
Klabu ya Yanga SC imepigwa faini ya Tshs milioni 80.5 ($35,000) kosa la kwanza ni kuwasha fataki wakati wa mchezo dhidi ya Rivers United($10,000) Tukio la basi la Rivers United …
Lampard Anataka Chelsea Kuwa Hatari Mbele
Kocha Frank Lampard anaamini Chelsea inahitaji kuwa “hatari” katika ushambuliaji ili kuendeleza ushindi uliochelewa na kuanza kuziba pengo kubwa kwa vilabu vinavyoongoza Ligi ya Uingereza. Odds kubwa za soka unazipata …
Tarkowski Hana Majuto Juu ya Kujiunga na Everton
James Tarkowski hajutii uamuzi wake wa kujiunga na Everton msimu uliopita wa joto licha ya tishio la kushushwa daraja mara ya pili mfululizo. Tarkowski alikuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa …
Juventus Kumsajili Greenwood kwa Mkopo
Juventus wanaripotiwa kuwa tayari kutoa ofa ya mkopo kwa Manchester United kwa ajili ya kumnunua Mason Greenwood. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na …
Guardiola Awatetea Wachezaji Wawili wa City kwa Kukosa Penalti
Pep Guardiola amekataa kuwakosoa Ilkay Gundogan na Erling Haaland kwa kukosa penalti katika ushindi mwembamba usiotarajiwa wa Manchester City wa 2-1 dhidi ya Leeds. Haaland alimwacha Gundogan wakati City …
Tottenham Yakemea Ubaguzi Dhidi ya Heung-min Son
Klabu ya Tottenham wamelaani vitendo vya ubaguzi wa rangi ambavyo vilielekezwa kwa mchezaji wa timu hiyo Heung-min Son siku ya Jumamosi. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, …
Salah Afikisha Mabao 100 | Liverpool Njia Nyeupe Top Four EPL
Matumaini ya Liverpool ya kumaliza katika nne bora ya EPL yaliongezeka baada ya kupata ushindi mgumu dhidi ya Brentford. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, …
Pep Bado Anamtaka Gundogan
Pep Guardiola amefungua milango ya kiungo Ilkay Gundogan kusalia Manchester City baada ya kubainisha wazi kumhitaji kwa siku za mbeleni. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, …

