Wakili wa Leao Amesema Mazungumzo Yote Muhimu Ya Mkataba wa Mteja Wake
Ted Dimvula, wakili wa Rafael Leao, ametoa taarifa kuhusu mazungumzo ya mteja wake ya kuongeza mkataba na Milan, akithibitisha kwamba majadiliano ni marefu. Imeripotiwa sana siku za hivi karibuni …
Bennacer Anahitaji Upasuaji wa Goti Baada ya Kuumia Huko San Siro
Ripoti za hivi punde zinaonyesha kuwa Ismael Bennacer atahitaji kufanyiwa upasuaji ili kutatua jeraha la goti alilopata katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Inter Milan jana. Kiungo …
As Roma Dhidi ya Bayern Leverkusen ni Vita ya Mwalimu na Mwanafunzi
As Roma itashuka dimbani usiku wa leo wakiwa nyumbani katika dimba lao la Olympico kuwakaribisha Bayern Lverkusen ya nchini Ujerumani katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la Europa ligi. …
Dyche Aionya Everton Kutofikiria Kuwa Kila Kitu Kilitatuliwa na Ushindi wa Brighton
Kocha mkuu wa Everton Sean Dyche anasisitiza kuwa itakuwa vibaya kufikiria kila kitu kimetatuliwa kufuatia ushindi wao wa kishindo dhidi ya Brighton. Ushindi wa 5-1, ambao ni ushindi wa …
Robertinho: “Tupo Tayari Kushinda”
Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara inatarajia kuendelea kwa michezo miwili ambapo mchezo wa majira ya saa 1:00 usiku utakuwa ni kati ya Simba ya Robertinho dhidi ya Ruvu Shooting …
Liverpool Yaanza Mbio za Kumnasa Tchouameni
Liverpool wanapanga jaribio la pili la kumnasa Aurelien Tchouameni hadi Anfield kutoka Real Madrid. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa mwenye miaka 23, alikuwa analengwa zaidi na The Reds …
Bowen Anajua Umuhimu wa Kombe la Konferensi Kwao Upo Wapi
Jarrod Bowen anajua nini hasa kushinda kombe kutakavyomaanisha kwa mashabiki wa West Ham huku akisema kuwa inabidi amuulize tu rafiki wa babake yake Danny Dyer. The Hammers watawania kutinga …
Watford Wamemteua Ismael Kama Kocha Mkuu Mpya
Klabu ya Watford wamemteua Valerien Ismael kama kocha wao mpya ambaye kocha huyo ni kocha wa zamani wa Barnsley na West Brom Ismael anachukua nafasi ya Chris Wilder, ambaye ameondoka …
Inzaghi Aionya Inter Kuwa Kazi Bado Haijaisha
Simone Inzaghi amesisitiza kuwa Inter Milan bado wana kazi ya kufanya ili kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa licha ya ushindi wa 2-0 wa mkondo wa kwanza dhidi ya AC …
Carlo Ancelotti Aligundua Mpira Kutoka Kabla De Bryune Kufunga
Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti alikuwa na hasira baada ya Kevin De Bruyne kufunga bao la kusawazisha la Man City na teknolojia ya VAR kuthibitisha kwamba alikuwa na uhakika. …

