Ward-Prowse Anaamini Southampton Inaweza Kurejea kwa Haraka EPL
Nahodha wa Southampton James Ward-Prowse ana amini kuwa timu yao inaweza kurejea haraka kwenye ligi kuu ya Uingereza kufuatia maumivu ya kushushwa daraja hapo jana. Hatima ya Saints ilitiwa …
Simba Yaishusha Ruvu Shooting Daraja
Rasmi jana klabu ya Ruvu Shooting imeshuka daraja baada ya kupokea kichapo cha mabao 3-0 kutoka kwa Simba SC kwenye mchezo ambao ulipigwa katika dimba la Chamazi jijini Dar es …
Ten Hag: Asema Diallo Yupo Kwenye Mipango Yake
Kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag amesema kua kinda wa klabu hiyo Amad Diallo yupo kwenye mipango na atampa nafasi kwenye timu yake baada ya kumaliza mkopo …
KMC Yarudisha Matumaini Kubaki Ligi Kuu Yaipasua Singida
Klabu ya KMC imefufua matumaini ya kuendelea kuwepo kwenye ligi kuu ya NBC msimu wa 2023/24 baada ya kuipasua klabu ya Singida Big Stars leo katika mchezo uliopigwa katika dimba …
Messi Kurejea Kesho Dhidi ya Ajaccio
Staa wa klabu ya PSG ya nchini Ufaransa na mchezaji bora wa dunia mara saba Lionel Messi kurejea kesho kwenye mchezo wa ligi kuu ya Ufaransa dhidi ya klabu ya …
Haaland Mchezaji Bora wa Mwezi Aprili Epl
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester City Earling Haaland amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa nne kwenye ligi kuu ya Uingereza baada ya kua na kiwango bora zaidi …
Tuchel Athibitisha Bayern Wanahitaji Mshambuliaji
Kocha wa klabu ya Fc Bayern Munich Thomas Tuchel amethibitisha klabu yake inahitaji mshambuliaji mwenye kiwango cha dunia kutokana na kauli ambayo ameitoa mapema leo akizungumza na wanahabari. Kocha Tuchel …
Mohamed Hussein Ahusishwa Kuondoka Simba
Beki wa kushoto wa klabu ya Simba na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mohamed Hussein taarifa zinaeleza beki huyo anaweza kutimka ndani ya klabu hiyo aliyoitumikia kwa muda …
PSG Kumsajili Diaby Kama Mbadala wa Messi
Klabu ya Paris Saint-Germain inaripotiwa kuwa na matumaini ya kuipiku Arsenal katika usajili wa mchezaji Moussa Diaby kama mbadala wa Lionel Messi. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya …
Mourinho: Sifa Zote Ziende kwa Wachezaji wa Roma
Jose Mourinho ametoa sifa nyingi kwa wachezaji wake wa Roma na haswa mfungaji wa bao Edoardo Bove baada ya ushindi wa nusu fainali ya Ligi ya Europa dhidi ya Bayer …

