Klabu ya Paris Saint-Germain inaripotiwa kuwa na matumaini ya kuipiku Arsenal katika usajili wa mchezaji Moussa Diaby kama mbadala wa Lionel Messi. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
Diaby (23) anavutia timu nyingi kutokana na kiwango chake katika klabu ya Bayer Leverkusen msimu huu.
Mfaransa huyo amefunga mabao 14 na kutoa asisti 11 msimu huu na kuisaidia timu yake kushika nafasi ya sita kwenye msimamo wa Bundesliga. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye sloti na michezo ya kasino kama Poker, Aviator, Roulette.
Diaby alijiunga na kikosi cha Ujerumani akitokea PSG mwaka 2019 kwa ada ya paundi milioni 13.
Na Leverkusen sasa wanaweza kupata faida nzuri, kwa mujibu wa Evening Standard ilisema PSG wanaweza kumrejesha kwa mkataba wa £65m.
Miamba hao wa Ligue 1 wanalenga wachezaji chipukizi wa Ufaransa wanapojiandaa kuchukua nafasi ya Messi na Neymar, ambao wanakabiliwa na mustakabali usio na uhakika Parc des Princes. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Mkataba wa Messi unamalizika msimu huu wa joto na huku kukiwa na uvumi mkubwa juu ya kuhamia Saudi Arabia, inaonekana kwamba siku zake za kukaa Paris zinahesabika.
Wakati huo huo Neymar pia anachunguzwa, huku wafuasi wakitamani kuona Mbrazil huyo akisonga mbele. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.