Rekodi za Sevilla Kwenye Europa League
Daily News

Sevilla FC ni moja ya vilabu vikubwa nchini Hispania, na kati ya vilabu vyenye mafanikio makubwa zaidi katika michuano ya Europa League. Klabu hii imekuwa na mafanikio ya kushangaza katika …

Soma zaidi
Jim Ratcliffe Mnunuzi wa United Ndiye Mtu wa Pili kwa Utajiri
Daily News

Jim Ratcliffe wa Manchester United sasa ndiye mtu wa pili kwa utajiri nchini Uingereza, kulingana na Orodha ya Matajiri ya Sunday Times, huku waundaji wa orodha hiyo wakiweka utajiri wake …

Soma zaidi
Mshindi wa TZS 20,000,000/= | Kasino ya mtandaoni Atoboa Siri ya Ushindi Huo
Meridianbet

­­­ Mshindi wa kiasi cha Tsh Milioni 20,000,000/= za Meridianbet kasino ya mtandaoni amefichua siri kubwa ya ushindi huo, huku akisema kwamba kucheza mara kwa mara kumemfanya aibuke Mfalme wa …

Soma zaidi
Guardiola Aongoza Orodha ya Makocha waonawania Tuzo ya Kocha Bora Epl
Daily News

Kocha Pep Guardiola wa klabu ya Manchester City aongoza orodha ya makocha wanaowania tuzo ya kocha bora wa mwaka wa ligi kuu ya Uingereza msimu huu akimbatana na makocha wengine. …

Soma zaidi
Yanga Yatinga Fainali ya Afrika Kibabe
SOKA LA BONGO

Klabu ya Yanga imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya kombe la shirikisho Afrika kibabe baada ya kuifumua klabu ya Marumo Gallants kwa mabao mawili kwa moja katika uwanja …

Soma zaidi
Ivan Toney Nje Miezi Nane Kwa Kosa la Kubashiri
News

Mshambuliaji wa klabu ya Brentford na timu ya taifa ya Uingereza Ivan Toney amefungiwa kujihusisha na shughuli zozote kimichezo kwa muda wa miezi nane na shirikisho la soka la Uingereza …

Soma zaidi
Bonucci Kustaafu Mwisho wa msimu Ujao
Serie A

Beki wa kimataifa wa Italia na klabu ya Juventus Leonardo Bonucci amesema anatarajia kustaafu mwishoni mwa msimu ujao ikiwa mkataba wake ndani ya klabu hiyo utatamatika pia mwishoni mwa msimu …

Soma zaidi
Manchester United Yamnyatia Mane
Daily News

Winga wa zamani wa klabu ya Liverpool anayekipiga katika klabu ya Bayern Munich ya nchini Ujerumani Sadio Mane inaelezwa kufukuziwa na mashetani wekundu klabu ya Manchester United kuelekea kufunguliwa kwa …

Soma zaidi
Manchester City Dhidi ya Real Madrid leo na Ndoto za Treble
Champions League

Klabu ya Manchester City leo itashuka dimbani kuikaribisha Real Madrid katika mchezo wa nusu fainali wa  marudiano wa ligi ya mabingwa ulaya utakaopigwa katika dimba la Etihad usiku wa leo. …

Soma zaidi
Xaka Kutimka Arsenal Mwishoni mwa Msimu
Daily News

Kiungo wa klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Uswisi Granit Xaka anatarajia kutimka ndani ya klabu hiyo mwishoni mwa msimu baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa takribani miaka …

Soma zaidi
1 2 3 503 504 505 506 507 508 509 2,271 2,272 2,273
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.