Manchester City Wametawazwa Kuwa Mabingwa wa EPL
Manchester City wameshinda taji lao la tano la Ligi kuu ya Uingereza ndani ya misimu sita baada ya Arsenal kufungwa 1-0 na Nottingham Forest hapo jana. Kupoteza huko kunamaanisha …
De Zerbi: “Brighton Wanastahili Kucheza Michuano Mikubwa Ulaya Msimu Ujao”
Roberto De Zerbi anasisitiza Brighton wanastahili kufuzu kucheza michuano mikubwa Ulaya msimu ujao kutokana na juhudi zao katika kampeni ya sasa. Seagulls watakabiliana na Southampton iliyoshuka daraja Jumapili kwenye …
Lyon Yaongeza Nafasi ya Kucheza Uropa Msimu Ujao
Lyon imeongeza nafasi yake ya kupata nafasi ya kucheza Uropa msimu ujao kwa kutoka nyuma na kuambulia ushindi wa 3-1 wa Ligue 1 dhidi ya Monaco, ambao matumaini yao madogo …
United Inaweza Kumkosa Rashford Katika Mchezo Wao Dhidi ya Bournemouth
Manchester United wanaweza tena kumkosa Marcus Rashford kwa safari yao ya Ligi Kuu dhidi ya Bournemouth hapo kesho. Mshambuliaji huyo alikosa ushindi wa wikendi iliyopita dhidi ya Wolves kutokana …
Frank: “Mustakabali wa Ivan Toney Upo Hapa Brentford”
Thomas Frank amesema mustakabali wa Ivan Toney utakuwa Brentford baada ya mshambuliaji huyo kufungiwa miezi nane bila kujihisisha na mpira kwa makosa ya kucheza kamari. Mchezaji huyo mwenye umri …
Jones Kuondoka Man Utd Huku Akiandamwa na Majeraha
Phil Jones atatazama nyuma kwa furaha miaka 12 akiwa Manchester United licha ya kukiri kuwa na siku ngumu katika vita vyake vya majeraha baada ya kutangazwa kuwa ataondoka katika klabu …
Howe Anajua Newcastle Italazimika Kusimama Vizuri Kucheza Ligi ya Mabingwa
Eddie Howe amekiri Newcastle itahitaji wachezaji wawili wa XI wenye ubora sawa ili kukabiliana na ugumu wa soka la Ulaya msimu ujao. Alipoulizwa hilo litamaanisha nini kwa dirisha la …
City Wanamtaka Gvardiol Katika Mabadiliko ya Safu ya Ulinzi
Manchester City wanataka kumsajili Josko Gvardiol kutoka RB Leipzig msimu huu wa joto kuendelea kuimarisha eneo hilo la mabeki. Kwa mujibu wa The Daily Maily Aymeric Laporte huenda akaondoka …
Shabiki wa Fiorentina Augua Wakati wa Nusu Fainali ya Ligi ya Konferensi
Nusu fainali ya Ligi ya Konferensi ya Fiorentina na FC Basel ilisimamishwa kwa takriban dakika 10 kwa sababu shabiki wake alishukiwa kuwa na mshtuko wa moyo, lakini ripoti zinasema yuko …
Mourinho Asherehekea Ushindi wa Roma wa Europa kwa Mtindo wa Pekee
Jose Mourinho alionekana kuwa na furaha aliposherehekea na wafuasi wa Roma kwenye Uwanja wa BayArena baada ya kushikilia sare ya 0-0 dhidi ya Bayer Leverkusen na kufanikiwa kufuzu fainali ya …

