Inter Yapokea Kichapo Kutoka kwa Mabingwa Napoli
Serie A

Serie A nayo ilikuwa ya moto sana wikendi hii kueleka mwaisho wa msimu ambapo, Inter Milan walirudishwa chini baada ya kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa, wakiangukia kwenye kichapo cha …

Soma zaidi
Madrid Yashindwa Yachapika Ugenini, Huku Vini Akipewa Kadi Nyekundu
La Liga

Wiki imezidi kuwa mbaya ya Real Madrid baada ya kupoteza mchezo wa jana kwa bao 1-0 wakiwa ugenini dhidi ya Valencia ambao wanashikilia nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi …

Soma zaidi
Dortmund Wanahitaji Ushindi Mmoja Pekee Kumaliza Ubabe wa Bayern
Bundesliga

Borussia Dortmund wanahitaji ushindi mmoja kunyakua taji la Bundesliga baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Augsburg.   Kupoteza kwa Bayern Munich kwa Leipzig siku ya Jumamosi kulifungua milango kwa …

Soma zaidi
Chama Afungiwa Mechi 3 na Faini Juu
SOKA LA BONGO

Kamati ya Uendeshaji na usimamizi wa ligi ya bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Mei 19 2023, ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya ligi na …

Soma zaidi
Liverpool Inakaribia Kuipiku Chelsea Kumsajili Mac Allister
Daily News

Liverpool wamepiga hatua kukaribia kumsajili kiungo wa Brighton Alexis Mac Allister huku mwanahabari Gaston Edul akidai kuwa Jogoo wamepambana na ushindani kutoka kwa Chelsea kumpata mshindi huyo wa Kombe la …

Soma zaidi
Liverpool na MacAllister ni Suala la Muda Tu
Daily News

Klabu ya Liverpool na kiungo wa kimataifa wa Argentina anayekipiga klabu ya Brighton Hove and Albion kila kitu kipo sawa ni suala la muda tu kiungo huyo kujiunga na Vijogoo …

Soma zaidi
Mbeumo Afurahia Kuiinua Brentford Baada ya Toney Kukosekana
Daily News

Bryan Mbeumo amefurahi kuiinua Brentford kwa kukosekana kwa Ivan Toney katika ushindi wao wa 3-1 dhidi ya Tottenham jana.   The Bees hawakuwa na mshambuliaji Toney mwenye mabao 20, ambaye …

Soma zaidi
Neves Anaweza Kuondoka Wolves Huku Akitaka Kucheza Ligi ya Mabingwa
Daily News

Ruben Neves anakiri kuwa anataka kucheza Ligi ya Mabingwa na anakabiliwa na uamuzi mgumu kuhusu mustakabali wake wa Wolves.   Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 26 anatarajiwa kuondoka Molineux …

Soma zaidi
Lampard Atetea Uamuzi wa Chukwuemeka
Daily News

Frank Lampard ametetea uamuzi wa Chelsea wa kutomruhusu Carney Chukwuemeka kujiunga na kikosi cha timu ya taifa ya Uingereza chini ya miaka 20 kwa ajili ya Kombe la Dunia nchini …

Soma zaidi
Pep: “City Lazima Washinde Mataji Kadhaa ya Ulaya Ili Kuwa Miongoni Mwa Wababe”
Daily News

Pep Guardiola anakubali kwamba timu yake ya Manchester City lazima sio tu ishinde Ligi ya Mabingwa, lakini ifanye hivyo zaidi ya mara moja ili kuonekana miongoni mwa vigogo.   Kocha …

Soma zaidi
1 2 3 501 502 503 504 505 506 507 2,271 2,272 2,273
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.