Marotta: “Hakuna Sababu ya Inter Kutoendelea na Inzaghi”
Serie A

Mkuu wa Inter, Beppe Marotta ana uhakika ‘hakuna sababu ya kutoendelea’ na Simone Inzaghi na lazima waangalie Ligi ya Mabingwa akilini mwao kwasasa baada ya kuchukua Coppa Italia.   The …

Soma zaidi
Di Maria Anakaribia Kuondoka Juventus
Serie A

Kwa mujibu wa Romeo Agresti, Juventus wameamua kutomuongezea mkataba Angel Di Maria, hivyo msafara wa Muajentina huyo tayari unatathmini uwezekano wa kuondoka klabuni hapo.   El Fideo alisaini mkataba wa …

Soma zaidi
Graham Potter Kurejea Nice ya Ufaransa
Daily News

Aliyewahi kuwa kocha mkuu wa Chelsea Graham Potter anaripotiwa kurejea kwenye uongozi katika klabu ya Nice ya Ligue 1. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali. Potter …

Soma zaidi
Madrid Ilimuunga Mkono Vinicius Kabla ya Ushindi Dhidi ya Rayo Vallecano
La Liga

Bao la Rodrygo dakika ya 89 liliifanya Real Madrid kurejea katika njia ya ushindi baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Rayo Vallecano wa katikati mwa msimamo Uwanja wa Bernabeu. …

Soma zaidi
Simba Yashusha Chuma Kipya
SOKA LA BONGO

Baada ya kuukosa ubingwa wa Ligi kuu bara, Simba SC imeanza kujiandaa na msimu ujao haswa katika upande wausajili wa wachezaji wapya. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa …

Soma zaidi
Southgate Amuunga Mkono Sterling Apone Haraka
Daily News

Gareth Southgate amemuunga mkono Raheem Sterling kupona msimu wake wa kutisha baada ya kumuacha nje ya kikosi chake cha hivi punde cha Uingereza.   Mshambuliaji huyo wa Chelsea atakosa mechi …

Soma zaidi
Andres Iniesta Abwaga Manyanga Japan
Daily News

Kiungo Andres Iniesta, ambaye alishinda Kombe la Dunia akiwa na Hispania mwaka 2010 na mataji manne ya Ligi ya Mabingwa na mataji tisa ya LaLiga akiwa na Barcelona, ​​ameripotiwa kuondoka …

Soma zaidi
PSG na Chelsea Wapigania Mchezaji
Daily News

PSG na Chelsea wanagombania kumsajili nyota wa Sporting Lisbon, Manuel Ugarte, huku mabingwa hao wa Ufaransa PSG wakiwa mstari wa mbele kuinasa saini ya mchezaji huyo. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet …

Soma zaidi
Lopetegui Haombi “Usajili wa Kutishia”
Daily News

Kocha wa Wolves Julen Lopetegui anataka ufafanuzi kuhusu mipango ya uhamisho wa klabu hiyo msimu huu wa joto huku kukiwa na mashaka juu ya mustakabali wake katika klabu hiyo baada …

Soma zaidi
Mason Mount Aibukia Manchester United
Daily News

Mchezaji wa Chelsea Mason Mount ameonesha nia ya kuondoka katika viunga vya Stamford Bridge, huku ripoti zikieleza huenda akajiunga na mashetani wekundu wa Jiji la Manchester. ukiwa na meridianbet unapata …

Soma zaidi
1 2 3 498 499 500 501 502 503 504 2,271 2,272 2,273
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.