Andres Iniesta Abwaga Manyanga Japan

INIESTA

Kiungo Andres Iniesta, ambaye alishinda Kombe la Dunia akiwa na Hispania mwaka 2010 na mataji manne ya Ligi ya Mabingwa na mataji tisa ya LaLiga akiwa na Barcelona, ​​ameripotiwa kuondoka katika klabu ya Vissel Kobe huko Japan. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Iniesta alitokwa na machozi alipotangaza Alhamisi kwenye mkutano na waandishi wa habari kwamba ataondoka katika klabu hiyo katikati ya msimu wa sasa wa Ligi ya J mwezi Julai na kuashiria kuwa ana mpango wa kuendelea kucheza, ingawa hakusema ni wapi. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Alipoulizwa ni wapi anaweza kucheza, alijibu: “Lazima niwaambie ukweli, sijui.”

“Nataka kuendelea kucheza soka. Ninahisi kama bado nina uwezo wa kucheza,’ aliongeza, akizungumza kwa Kihispania. “Lakini sura hii inapofungwa, tutaona kinachowezekana. Nataka kumaliza kazi yangu ya kucheza uwanjani, na hili ndilo ninalotarajia kufanya.”

Muda mchache wa kucheza anaopatiwa umemlazimu Iniesta kuondoka klabuni hapo, ikizingatiwa kuwa amecheza mara tatu pekee kwenye ligi na mara mbili zaidi kwenye kombe msimu huu. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.