PSG na Chelsea wanagombania kumsajili nyota wa Sporting Lisbon, Manuel Ugarte, huku mabingwa hao wa Ufaransa PSG wakiwa mstari wa mbele kuinasa saini ya mchezaji huyo. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.
Gazeti la Correio da Manha kutoka Lisbon Ureno limeripoti kwamba mabingwa hao wa Ufaransa wamekubali kulipa paundi milioni 52 ili kumsajili Ugarte.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uruguay sasa anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitano kujiunga na PSG. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Ugarte amekuwa na kiwango kizuri katika msimu wake wa pili akiwa Sporting, huku kiungo huyo akicheza mechi 47 katika mashindano yote. ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Ugarte alijiunga na Sporting kwa zaidi ya paundi milioni 5 mwaka 2021 akitokea timu ya Famalicao ya Ureno.
Tangu wakati huo ameichezea klabu hiyo mechi 85, huku pia akiwa na mechi nane akiwa na Uruguay. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.


