Hassan Dilunga Mambo Mazuri Simba
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ka sasa hali ya kiungo wao Hassan Dilunga ambaye hakuwa fiti kutokana na kupambania afya yake imezidi kutengamaa. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi …
Yanga Tanzania Iko Nyuma Yenu Leo
WAKATI mwingine wa kuendeleza furaha kwa familia ya michezo inakuja siku ambayo Afrika itakuwa ikifuatilia habari za dakika 90 leo kati ya Yanga SC vs USM Alger. Tembelea duka la …
PSG Mabingwa wa Ligue 1 Mara ya 11
Lionel Messi alilengwa na PSG baada ya kunyakua taji lao la 11 la kuvunja rekodi la Ligue 1, licha ya kutoa sare ya 1-1 na Strasbourg jana. Messi, ambaye …
Mikel Arteta Ajilauma kwa Kukosa Ubingwa wa EPL
Mikel Arteta amejilaumu kwa kutopata matokeo mazuri kwenye kikosi chake chote baada ya kufanya vibaya mechi za mwisho wa msimu, hali iliyofanya timu hiyo kutochukua ubingwa wa EPL msimu huu. …
Kisa Yanga Feitoto Anaomba Kuchangiwa Hela
KIUNGO wa Yanga Feisal Salum amesisitiza kuwa anaomba kuchangiwa fedha na wadau Ili aende CAS. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa. ANAANDIKA Feisal Salum namna hii:-“Ndugu …
Pirlo Avunja Ukimya na Kuelezea Kuondoka Kwake Karagumruk
Andrea Pirlo anakiri msimu wa kuinoa Karagumruk ya Uturuki umekuwa mkali lakini mwishowe amepata tamaa ya kupata changamoto mpya. Mchezaji huyo wa zamani wa kimataifa wa Italia ameondoka Uturuki …
Kambi ya Yanga Avic Town ni Kama Ikulu
KUELEKEA mchezo wa kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga imeongeza ulinzi katika kambi yake waliyoiweka huko Kijiji cha Avic Town, Kigamboni nje kidogo ya Dar. Tembelea duka …
USM Alger Watua Dar Usiku wa Manane
WAPINZANI wa Yanga kwenye mchezo wa kimataifa unaotarajiwa kuchezwa Mei 28, 2023 Uwanja wa Mkapa USM Alger, wamewasili ardhi ya Tanzania. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds …
PSG Inachuana na Napoli Kumpata Luis Enrique
Kulingana na Il Corriere dello Sport, PSG wanavutiwa na Luis Enrique ambaye ameibuka kama mgombea mkuu wa Napoli kuchukua nafasi ya Luciano Spalletti. Kocha huyo wa zamani wa Uhispania …
Rashford Aifikia Rekodi ya Van Persie
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Marcus Rashford amefanikiwa kuifikia rekodi ya mshambuliaji wa zamani wa klabu hiyo raia wa kimataifa wa Uholanzi baada ya kufanikiwa kufikisha mabao 30 usiku …

