AZAM FC Wapo Kwenye Dozi Nzito
MASTAA wa Azam FC wameendelea na program maalumu kwa ajili ya kuwakabili wapizani wao Wagosi wa Kaya, Coastal Union kwenye mchezo wao ujao wa ligi. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika …
Sevilla vs AS Roma Europa League Rekodi Ziko Hivi
Hatimaye imefika usiku wa deni haukawii kukucha, Fainali ya Europa League ni usiku wa leo kati ya mabingwa mara nyingi zaidi Sevilla vs AS Roma ya Italia inayonolewa na Kocha …
Van Der Sar Atimka Ajax
Edwin Van Der Sar amejiuzulu nafasi yake kama mkurugenzi mkuu mtendaji wa klabu ya Ajax Amsterdam mapema leo na hii imetokea baada ya gwiji huyo kuitumikia klabu hiyo kwa miaka …
Pavard Mbioni Kutimka Bayern Munich
Beki wa klabu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ufaransa Benjamin Pavard yuko mbioni kutimka klabuni hapo baada ya taarifa kudai hana mpango wa kusaini mkataba mpya na …
Joao Felix Kurejea Atletico
Winga Joao Felix raia wa kimataifa wa Ureno ambaye alikua akiitumikia klabu ya Chelsea kwa mkopo akitokea klabu ya Atletico Madrid kutoka nchini Hispania imeelezwa atarejea kwenye klabu yake hiyo …
Real Madrid Yamgeukia Kane
Klabu ya Real Madrid imeanza kumtolea macho mshambuliaji wa klabu ya Tottenham na nahodha wa timu ya taifa ya Uingereza Harry Kane kama mbadala wa mshambuliaji wake Karim Benzema. Real …
Benzema Hatihati Kutimka Real Madrid
Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid raia wa kimataifa wa Ufaransa Karim Benzema inaelezwa kua yuko kwenye hatihati ya kutimka ndani ya timu hiyo kipindi cha majira ya joto ya …
Chelsea Yamtangaza Pochettino Kuwa Kocha Wao Msimu Ujao
Chelsea wamemthibitisha kocha wa zamani wa Tottenham Mauricio Pochettino kuwa meneja wao ajaye. Pochettino mwenye miaka 51, atachukua mikoba ya Stamford Bridge msimu huu wa joto baada ya kukubali …
Chama: Mabadiliko ya Kikosi Yametuponza Msimu Huu
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba Clatous Chota Chama amefunguka sababu kubwa ambayo imefanya wapotee msimu huu na kusababisha wakose kila kitu. Chama ambaye anawania tuzo kadhaa msimu huu …
Kocha USM Alger Alia na Refa
Kocha wa Klabu ya USM Alger Abdul Benchikha alisema wazi kuwa licha ya kuwa timu yake kupata ushindi wa mabao 2-1 ugenini mbele ya Yanga, ila kuna vitu hakuridhishwa …

