Mshambuliaji wa Inter Kukosa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Kufuatia Jeraha Jipya
Mshambuliaji wa Inter Joaquin Correa yuko shakani kukosa Fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Manchester City kufuatia jeraha la misuli. La Gazzetta dello Sport limeripoti kuwa Correa alipata …
Leao: “Thiago Silva Ndiye Beki Mgumu Zaidi Kuwahi Kukutana Naye”
Rafael Leao anakiri kwamba mlinzi wa Chelsea na nyota wa zamani wa Milan Thiago Silva ndiye mpinzani mgumu zaidi kuwahi kukutana naye na anaeleza kwa nini yeye hutabasamu kila mara …
De Zerbi Anajiandaa Kujenga Kikosi cha Brighton Majira ya Joto
Roberto De Zerbi anaandaliwa kwa ajili ya majira ya joto ya kazi ngumu huku Brighton inayoshiriki Ligi ya Europa ikipania kuunda kikosi chenye uwezo wa kushindana katika nyanja nne. …
Mourinho Afichua Kuwa Spurs ni Klabu Pekee Ambayo Hana Hisia Nayo Sasa
Jose Mourinho amedai Tottenham ndio klabu yake pekee ya zamani ambayo hana uhusiano wowote nayo. Mreno huyo mwenye miaka 60, alikaa kwa miezi 17 Spurs lakini alitimuliwa na mwenyekiti …
Salah: “Hakuna Kisingizio kwa Liver Kukosa Ligi ya Mabingwa”
Mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah, anasisitiza kwamba hakuwezi kuwa na kisingizio cha kukosa kucheza Ligi ya Mabingwa. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 anakiri kuwa timu hiyo imeshindwa …
Haaland Analenga Kumaliza Msimu Mzuri wa Kwanza kwa Kushinda Treble
Erling Haaland ameweka malengo yake kwenye historia huku Manchester City ikifukuzia kushinda Treble msimu huu. Mshambuliaji huyo alisalia kuangazia fainali za City huku akitwaa tuzo ya Mwanasoka Bora wa …
Alonso Anawindwa na PSG
Kocha wa klabu ya Bayern Leverkusen na gwiji wa zamani wa vilabu vya Real Madrid, Liverpool, na Bayern Munich Xabi Alonso amekua kwenye rada za mabingwa wa Ufaransa klabu ya …
Dalot Mbioni Kusaini Mkataba Mpya
Beki wa klabu ya Manchester United raia wa kimataifa wa Ureno Diogo Dalot yuko mbioni kusaini mkataba mpya wa kuitumikia klabu hiyo ikiwa ni baada ya mazungumzo ya kina baada …
Luke Shaw: Kutwaa Ubingwa EPL & UCL Msimu Ujao
Luke Shaw anasema Manchester United inalenga kutwaa ubingwa wa Premiere League na Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa. Mashetani Wekundu …
Zhang Anakuwa Rais wa 3 Mwenye Mafanikio Zaidi
Rais wa Inter Steven Zhang ndiye Rais wa tatu mwenye mafanikio zaidi katika historia ya klabu hiyo, akiwa amejikusanyia kipande chake cha tano cha fedha kwenye usukani. The Nerazzurri …

