Luke Shaw anasema Manchester United inalenga kutwaa ubingwa wa Premiere League na Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.
Mashetani Wekundu wamekuwa na msimu mzuri kiasi wakati huu na wanaweza kujihakikishia kurejea Ligi ya Mabingwa wakiwa na pointi moja nyumbani dhidi ya Chelsea Alhamisi jioni. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Vijana wa Erik ten Hag tayari wamekamilisha mafanikio ya Kombe la Carabao na wana fursa ya kunyanyua Kombe la FA mwezi ujao dhidi ya majirani zao Manchester City.
Ni tofauti sana na mwaka mmoja uliopita wakati United ilipomaliza nafasi ya sita na kuandikisha jumla ya pointi 58 katika Ligi Kuu ya England. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.
Lakini Ten Hag ameifufua timu iliyodumaa na ingawa haijakamilika kwa sasa, Shaw anaamini United wanaonyesha dalili za klabu katika kurejea kileleni. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
“Nadhani timu zinazotuzunguka zinaweza kuona kwamba United inarejea,” Shaw aliiambia Sky Sports.
“Nafikiri lengo letu mwanzoni mwa msimu ujao lazima liwe kushinda Ligi Kuu na Ligi ya Mabingwa na hivyo ndivyo tunapaswa kufikiria kuanzia sasa.”