Tebas Aomba Radhi Kwa Alichokisema Vini Kutokana na Kufanyiwa Ubaguzi wa Rangi
Rais wa LaLiga Javier Tebas ameomba radhi kwa kupendekeza Vinicius Jr alikuwa “alidanganya” wakati winga huyo wa Real Madrid alipokemea ubaguzi wa rangi aliofanyiwa nchini Uhispania. Mchezaji huyo wa …
Dier Kukosa Mechi ya Mwisho ya Msimu Baada ya Kufanyiwa Upasuaji wa Paja
Tottenham watamkosa Eric Dier kwa mechi yao ya mwisho msimu huu huko Leeds baada ya beki huyo kufanyiwa upasuaji wa paja wiki hii. Beki wa kati Dier hajaanza mechi …
Zhang: “Inter Wana Mawazo ya Kushinda Kwasasa”
Rais wa Inter, Steven Zhang anaamini ushindi wa Coppa Italia dhidi ya Fiorentina unathibitisha ‘mioyo na akili zao ni muhimu’ katika Fainali, ikiwa ni pamoja na Ligi ya Mabingwa dhidi …
Nyota wa Palace Eze Aitwa Timu ya Taifa ya Uingereza Kwa Mara ya Kwanza
Kiungo wa Crystal Palace Eberechi Eze ameitwa kwa mara ya kwanza kwenye kikosi cha Gareth Southgate cha Uingereza kwa ajili ya mechi zijazo za kufuzu kwa Euro 2024 dhidi ya …
Neymar Jr Kwenda Man United ni Uongo
Winga wa klabu ya PSG Neymar Jr ambaye anahusishwa kwenda klabu ya Manchester United imethibitika sio taarifa za kweli kama ambavyo ilizuka usiku wa jana kua mchezaji huyo anatakiwa na …
Juventus Wanatafakari Kuhusu Giuntoli Huku Napoli Ikiendelea Kuwa Imara
Juventus tayari wamekubali kwa mdomo mkataba wa miaka mitano na Cristiano Giuntoli lakini hali yake huko Napoli imewasukuma kujadili mipango yao ndani. Mkurugenzi huyo wa michezo mwenye umri wa …
LeBron Atilia Shaka Mustakabali Wake NBA Baada ya Lakers Kuondoshwa Fainali
LeBron James atilia shaka mustakabali wake na Los Angeles Lakers baada ya kushindwa kwao kwa kumaliza msimu na Denver Nuggets. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 38, mfungaji bora …
United Vinara Wapya Kwenye Mbio za Kumsaka Neymar
Manchester United wanafikiriwa kuwa viongozi wapya katika mbio za kumnasa nyota wa Paris Saint-Germain Neymar. Msimu wa joto wa mabadiliko unakuja PSG, huku mshambuliaji maarufu Lionel Messi akitarajiwa kuondoka …
Mkurugenzi Mtendaji wa Southampton Semmens Anaondoka Huku Sport Republic Ikifanya Mabadiliko
Wamiliki wa Southampton wametangaza kuyumba katika ngazi ya bodi baada ya kushushwa daraja kutoka Ligi kuu ya Uingereza. Martin Semmens ameacha nafasi yake kama Mkurugenzi Mtendaji, huku Sport Republic …
Gundogan Aisisitiza City Kuweka Viwango vya Juu Katika Kutafuta Treble
Ilkay Gundogan amedhamiria kutopoteza kasi huku Manchester City wakipania kufunga msimu kwa kushinda Treble. City walitwaa taji la kwanza kati ya matatu wanayowinda kwa kushinda taji la Ligi Kuu …

