WAPINZANI wa Yanga kwenye mchezo wa kimataifa unaotarajiwa kuchezwa Mei 28, 2023 Uwanja wa Mkapa USM Alger, wamewasili ardhi ya Tanzania. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.
Ni alfajiri ya leo wamewasili kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.
USM Alger ya Algeria ni wapinzani wa Yanga ambao watacheza fainali ya kwanza Uwanja wa Mkapa. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Saa 10:00 jioni fainali hiyo inatarajiwa kuchezwa ambapo kila timu imekuwa ikiweka wazi kuwa inahitaji kupata ushindi. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Baada ya kuwasili Bongo wachezaji wa timu hiyo waliweka wazi kuwa wanatambua upinzani uliopo na watapambana kupata matokeo chanya. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.