Guardiola Anasema Akitinga Fainali ya UCL na Kubeba Ubingwa wa EPL Itakuwa ni Furaha Sana
Pep Guardiola anasema wiki ambayo Manchester City wanaweza kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa na kushinda tena Ligi ya Uingereza ni “ndoto itakayotimia”. Kipigo cha 3-0 cha Arsenal nyumbani …
Gundogan Anakaribia Kuondoka Etihad Huku Barca Ikikaribia Kumnasa
Nahodha wa Manchester City Ilkay Gundogan anakaribia kukubali kuhamia Barcelona majira ya kiangazi. Mkongwe huyo wa Ujerumani mwenye miaka 32, amekaa karibu miaka saba Etihad lakini anatazamiwa kuwa mchezaji …
Smith: Tielemans Amejitolea Kwaajili ya Kuipambania Leicester Kutoshuka Daraja”
Kocha mkuu wa Leicester City Dean Smith amesema kuwa, Youri Tielemans anasalia kujitolea kwa Leicester ili kuhakikisha timu hiyo haishuki daraja msimu huu. Leicester wako salama kwa pointi mbili …
Odegaard: “Arsenal Lazima Ijifunze Kutokana na Kupoteza Dhidi ya Brighton”
Nahodha wa Arsenal Martin Odegaard amekiri kwamba lazima wajifunze kutokana na kichapo cha mabao 3-0 hapo jana wakiwa nyumbani dhidi ya Brighton. Matumaini hafifu ya The Gunners ya ubingwa …
Barcelona Watawazwa Kuwa Mabingwa Wapya wa LALIGA 2022/23
Barcelona imefanikiwa kupata taji lao la kwanza la LaLiga tangu 2019 baada ya kuwafunga wapinzani wao wa jiji la Espanyol kwa mabao 4-2. Sherehe hizo zilikatizwa, hata hivyo, wakati …
Tanzania Prisons Yaitandika Kagera Sugar Kaitaba
Tanzania Prisons imeendelea kujiweka vizuri kwenye msimamo wa ligi baada ya kushinda mechi yake ya nne mfululizo kwenye ligi kwa kuitandika Kagera Sugar Kaitaba kwa bao 1-0. Bao …
Polisi Tanzania Kukipiga Dhidi Ya Mtibwa Sugar
Ligi kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea kwa mchezo mmoja leo ambapo Polisi Tanzania watakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Mtibwa Sugar huku kila timu ikihitaji ushindi wa pointi tatu. Polisi …
Azam Yachapika Nyumbani Kwake
Ligi kuu ya NBC iliendelea hapo jana kwa michezo mitatu ambapo mchezo wa mwisho ulikuwa ni kati ya Azam FC dhidi ya Namungo fc na kuisha kwa Matajiri wa Chamazi …
Klopp Yupo Tayari Kufufua Ushindani wa Taji la EPL na City Msimu Ujao
Kocha mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp ana imani timu yake inaweza kuziba pengo la Manchester City msimu ujao. Kutokuwa na uwiano wa matokeo ilishinda Manchester United 7-0 na Bournemouth …
Pochettino Amekubali Kuwa Kocha Mpya wa Chelsea
Chelsea wanaripotiwa kumteua Mauricio Pochettino kama kocha wao wa msimu ujao baada ya kuachana na Potter na Lampard kuchukua timu hiyo kwa muda. The Blues wamekubaliana na kocha huyo …

