KMC Atatoboa Leo Mbele ya Singida Big Stars?
Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara inaendelea kwa michezo miwili ambapo mechi ya mapema saa 10:00 jioni itakuwa ni kati ya KMC dhidi ya Singida Big Stars. Mechi hiyo …
Ulimboka Mwakingwe, Kitumbo Wafungiwa na TFF
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la soka nchini TFF imewafungia maisha kutojihusisha na shughuli za mpira wa miguu Ulimboka Mwakingwe aliyekuwa kocha wa Fountain Gate FC na Yusuph Kitumbo aliyekuwa …
OPAH ANARUDI ZAKE BONGO
MUDA wowote kuanzia sasa mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania anayecheza katika klabu ya Beskitas ya Ligi Kuu Uturuki Opah Clement atarejea Bongo baada ya ligi yao kumalizika. Opah alicheza mechi …
MASAKA KILA KITU POA SWEEDEN
MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania anayecheza kwenye klabu ya Ligi Kuu Sweeden BK Hacken Aisha Masaka anasema anashukuru Mungu kuwa kila kitu kinakwenda sawa kwenye maisha yake ya Ulaya. Hivi …
JENTRIX: SINA UHAKIKA WA KUWA MFUNGAJI BORA
KINARA wa mabao Ligi Kuu Wanawake Bara Mkenya, Jentrix Shikangwa amesema kuwa hana uhakika wa kumaliza ligi akiwa na mabao mengi zaidi ya mchezaji mwingine. Shikangwa anasema bado ligi inaisha …
Simeone Inzaghi Awaonya Vijana Wake Baada ya Ushindi
Kocha wa klabu ya Inter Milan Simeone Inzaghi amewaonya wachezaji baada ya ushindi wa mabao mawili kwa bila katika mchezo wa nusu fainali wa ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya …
Inter Milan Yatawala Timu Bora ya Wiki Uefa
Klabu ya Inter Milan imetawala timu bora ya wiki ya michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya yaani Uefa Champions League baada ya michezo ya nusu fainali kupigwa ndani ya …
Manchester United Yamfukuzia Lautaro Martinez
Klabu ya Manchester United inataarifiwa inamfuatilia kwa karibu mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina anayekipiga klabu ya Inter Milan ya nchini Italia Lautaro Martinez ili waweze kumsajili katika dirisha lijalo. Lautaro …
Ramsdale Bado Yupo Sana Arsenal
Golikipa wa Arsenal raia wa kimataifa wa Uingereza Aron Ramsdale yupo bado sana ndani ya klabu hiyo baada ya taarifa kueleza kua yupo mbioni kusaini mkataba mpya ambao utamuweka klabuni …
Napoli Wapo Kwenye Mazungumzo na Mchezaji wa Japan Kamada
Napoli wanajiandaa kwa dirisha jingine muhimu la uhamisho wa majira ya kiangazi na wanatafuta kumsajili kiungo wa Eintracht Frankfurt Daichi Kamada kwa uhamisho wa bure. Mafanikio ya Napoli ya …

