OPAH ANARUDI ZAKE BONGO

MUDA wowote kuanzia sasa mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania anayecheza katika klabu ya Beskitas ya Ligi Kuu Uturuki Opah Clement atarejea Bongo baada ya ligi yao kumalizika.

Opah alicheza mechi yake ya mwisho ya ligi kwa msimu huu juzi na kushuhudia timu yake ikipoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya ALG Spor.opahOpah alisema, atarejea nyumbani kupumzika akisubiri msimu mpya wa ligi ambao unatarajia kurejea mwishoni mwa mwaka huu.

Opah aliondoka Simba Queens akiwa amefunga mabao 9, lakini akiwa Uturuki hajapata muda mrefu wa kukaa uwanjani na kuitumikia timu yake.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.