JENTRIX: SINA UHAKIKA WA KUWA MFUNGAJI BORA

KINARA wa mabao Ligi Kuu Wanawake Bara Mkenya, Jentrix Shikangwa amesema kuwa hana uhakika wa kumaliza ligi akiwa na mabao mengi zaidi ya mchezaji mwingine.

Shikangwa anasema bado ligi inaisha lakini bado kuna wapinzani wake wana mechi rahisi ambazo kimsingi zinaweza zikawapa nafasi ya wachezaji wao kufunga mabao zaidi.

“Natakiwa niseme kuwa bado kusema nitakuwa mfungaji bora, kwa sababu bado ligi haijaisha na kuna nafasi ya wachezaji wengine kufunga na kufika nilipo.jentrix“Nafikiri kwa upande wangu natakiwa kufunga na kutumia nafasi ambayo nitaipata kwenye mchezo wa mwisho.

Shikangwa kwa sasa ana mabao 16 na assits nne, huku anayemfuatia ni Donisia Minja wa JKT Queens mwenye mabao 12.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.