Pep Guardiola Aipongeza Man City Mchezo na Real Madrid
Pep Guardiola aliipongeza timu yake ya Man City kwa kuonesha kiwango kizuri kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali mkondo wa kwanza dhidi ya Real Madrid kwenye Uwanja wa Santiago …
Arsenal Wako Tayari Kumuuza Granit Xhaka Msimu Huu
Washika mtutu wa London Arsenal wamehusishwa na majina kadhaa ya kiungo huku Mikel Arteta akitafuta wachezaji wapya kwenye dirisha la usajili wa majira ya joto. Odds kubwa za soka unazipata …
Giroud: “Milan ni Klabu Kubwa na Inastahili Kucheza Fainali ya Ligi ya Mabingwa”
Olivier Giroud anafurahia matarajio ya kucheza katika nusu fainali nyingine ya Ligi ya Mabingwa, na anatumai kuwa Milan wanaweza kufikia mambo makubwa watakapomenyana na Inter ugenini San Siro kesho usiku. …
Inzaghi: “Inter Haina Wasiwasi na Leao na Haitaikwepa Milan Kwenye Ligi ya Mabingwa”
Simone Inzaghi amesisitiza kuwa Inter haitaonyesha hofu yoyote dhidi ya Milan katika mchezo wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, utakaofanyika kwenye Uwanja wa San Siro Jumatano usiku. …
Toure Anaamini Kuwa ni Suala la Muda tu City Kushinda Ligi ya Mabingwa
Beki wa zamani wa City Kolo Toure ambaye aliichezea City kati ya 2009 na 2013, amesema kuwa ni suala la muda tu hadi Manchester City washinde Ligi ya Mabingwa Ulaya …
Ward-Prowse Anajua Southampton Wako Ukingoni Kushuka Daraja
James Ward-Prowse anajua jinsi masaibu ya Southampton yalivyo mabaya baada ya kichapo cha 4-3 kutoka kwa Nottingham Forest kuwaacha wakitazamia kushuka daraja kwa Ligi ya Uingereza. Southampton walikuwa kwenye …
Capello Aitaja City Kuwa Ndiyo Timu Bora Zaidi Duniani
Fabio Capello anaamini kuwa Manchester City ni timu bora zaidi duniani huku vijana wa Pep Guardiola wakijiandaa kwa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Real Madrid leo. …
Guardiola: City Haina Motisha ya Kulipiza Kisasi Katika Mechi ya Leo Dhidi ya Madrid
Pep Guardiola amesisitiza kulipiza kisasi sio motisha yake wakati akiitayarisha Manchester City kwa mechi yao ya mkondo wa kwanza ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Real Madrid. …
Southampton Inakaribia Kushuka Daraja Msimu Huu
Kocha mkuu wa Southampton Ruben Selles hajui mustakabali utakuwaje baada ya kichapo cha 4-3 dhidi ya Nottingham Forest kilichowaacha kwenye ukingo wa kushuka daraja. Saints walikuwa kwenye upande mbaya …
Chelsea Wanaweza Kumtumia Christian Pulisic Kumnasa Victor Osimhen
Christian Pulisic mwenye miaka 24, ni mmoja wa nyota ambao huenda wakaondolewa na Chelsea msimu huu wa joto huku gazeti la Daily Mail likisema anaweza kutumiwa kuvutia jina jingine kubwa …

