Pep Guardiola Aipongeza Man City Mchezo na Real Madrid

Guardiola

Pep Guardiola aliipongeza timu yake ya Man City kwa kuonesha kiwango kizuri kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali mkondo wa kwanza dhidi ya Real Madrid kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

Kevin De Bruyne alifunga bao zuri la kusawazisha Jumanne usiku wakati Man City ikitoka nyuma kwa sare ya 1-1 baada ya bao la kwanza lililofungwa na Vinicius Junior wa Real katika nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa.

Guardiola alisema: β€œUlikuwa mchezo mkali sana. Hongera timu yangu kwa sababu timu hii (Real) huwa ni ngumu sana kwa historia yao na pia ubora wao.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye sloti na michezo ya kasino kama Poker, Aviator, Roulette.

“Tulianza vizuri sana na tulipokuwa bora walifanya mabadiliko ya ajabu (na kufunga).

“Walipokuwa bora kuliko sisi katika kipindi cha pili, tulifunga. Iko wazi kwa Manchester, itakuwa fainali kwa watu wetu na tunaitarajia.”

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.