Tanzania Prisons Yaitandika Kagera Sugar Kaitaba

Tanzania Prisons imeendelea kujiweka vizuri kwenye msimamo wa ligi baada ya kushinda mechi yake ya nne mfululizo kwenye ligi kwa kuitandika Kagera Sugar Kaitaba kwa bao 1-0.

 

Tanzania Prisons Yaitandika Kagera Sugar Kaitaba

 

Bao hilo la kuipatia Tanzania Prisons pointi tatu za uhakika lilitupiwa kimyani na Edwin Balua kipindi cha pili cha mchezo dakika za lala salama na kuipeleke Prisons hadi nafasi ya 8 kwenye msimamo akiwa na pointi 34.

Baada ya Kagera ya Mexime kupoteza mchezo huo sasa wanabaki katika nafasi ya 7 kwenye msimamo wakiwa na alama zao 35 wakiwa wamesalia na michezo miwili ambayo yote watakuwa ugenini.

Tanzania Prisons Yaitandika Kagera Sugar Kaitaba

Timu hizi zote wamejinusu na kushuka daraja kutokana na nafasi walizopo na hivyo waliopo nafsi kuanzia 13 kushuka chini ndio bado kibarua kipo kwani wataishia kwenye kushuka daraja na wengine kucheza play off.

 

 

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.