AZIZI KI KUSAINI MKATABA MPYA YANGA

Kiungo wa Yanga Stephen Ki anatarajia kusaini mkataba mpya wa kuendelea kubaki Yanga Kwa misimu mingine miwili zaidi Baada ya mazungumzo kwenda vizuri.

AZIZI KI KUSAINI MKATABA MPYA YANGA

Habari za ndani ambazo Meridian Sport zimepata kutoka ndani ya Uongozi wa Yanga zinasema kuwa, Yanga imefikia matakwa anayotaka Azizi Ki Kwa asilimia 90 na kiungo huyo ameona anafaa kusaini mkataba mpya.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Kiongozi mmoja wa juu ambaye alitaka hifadhi ya jina lake alisema, Uongozi umeshamalizana na Azizi Ki, muda wowote ndani ya wiki hii atasaini mkataba mpya.

AZIZI KI KUSAINI MKATABA MPYA YANGA

“Kwa Sababu uongozi umefikia sehemu nzuri kwenye mahitaji yote ambayo Aziz KI anayataka na hiyo ni ishara ya kuwa Stephen atakuwa Yanga Kwa misimu miwili zaidi.”

Ikumbukwe kuwa Azizi alikuwa anahitaji ongezeko la mshahara anaolipwa Sasa wa milioni 43 Kwa mwezi na Nyongeza ya fedha ya usajili ambayo ilikuwa inatajwa kufikia bilion 1.2.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Acha ujumbe