Taarifa ya kuwa Clatous Chama anaelekea kuondoka Simba zinazidi kufifia baada ya Uongozi wa Simba kumtaka mchezaji huyo kusalia ndani ya kikosi hicho.
Klabu ya Simba imekubali kuboresha zaidi mkataba kwa matakwa mbalimbali anayohitaji kiungo huyo raia wa Zambia na Kuna uwezekano mkubwa akasaini muda wowote kuanzia Sasa.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Mmoja wa viongozi ndani ya Simba ameiambia Meridian Sports kuwa,Clatous Chama ili asaini mkataba mpya, kuna matakwa ambayo anahitaji na uongozi upo tayari kumpa anachotaka.
“Chama yupo tayari kusaini kandarasi mpya na kipaumbele kikubwa zaidi ni Simba, kuelekea msimu ujao kutaka kupata Ubingwa ambao tumeukosa Kwa misimu mitatu. Kwahiyo watu wajue kuwa Chama hauzwi na hatoondoka Simba Kwa Sasa au baadae.”
Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.