KAGOMA HUENDA ASICHEZE POPOTE MSIMU UJAO

Licha ya kuwa tetesi zinaeleza kuwa Yusuph Kagoma anakaribia Kutambulishwa kuwa ni mchezaji wa Simba, taarifa za kikachero ambazo Meridian Sports zimepata ni Kwamba, Yanga wanapanga kumshitaki Mchezaji huyo.

KAGOMA HUENDA ASICHEZE POPOTE MSIMU UJAO

Yanga wanadai kuwa Kagoma kabla ya kusaini mkataba na Simba, tayari alikuwa ameshasaini makubaliano ya kuitumikia Yanga msimu Ujao.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Huku kanuni inasema kama Mchezaji anabainika kuwa alisaini na timu mbili tofauti Kwa wakati mmoja basi anakumbana na adhabu ya Kufungiwa na kupigwa faini.

KAGOMA HUENDA ASICHEZE POPOTE MSIMU UJAO

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Hivyo Yanga wanasubiri Simba wamtambulishe na kisha wao wapeleke shitaka TFF.

Acha ujumbe