Mosses Phiri Aahidi Kurejesha Makali Yake

Mshambuliaji kinara wa Simba, Mosses Phiri ameahidi kurejesha makali yake na kuendelea kufunga mabao baada ya kupona majeraha.

 

Mosses Phiri Aahidi Kurejesha Makali Yake

Phiri amesema ushindani wa namba umekuwa mkubwa baada ya kuongezwa wachezaji wapya lakini atapambana kurudisha nafasi yake.

Mosses; “Nina furaha nimerudi, sio kitu kizuri kwa mchezaji kukosa mechi nyingi kutokana na majeruhi lakini nimejipanga kuhakikisha narudi kwa nguvu kama nilivyoanza msimu.”

Mosses Phiri Aahidi Kurejesha Makali Yake

Mshambuliaji huyo kwa sasa yuko fiti na amesema kuwa baada ya mchezo dhidi ya  Singida atakuwa tayari kucheza na amejipanga kuhakikisha anaendeleza ubora wake.

Akizungumzia kuhusu ujio wa mshambuliaji, Jean Baleke, Phiri amesema “Ni mchezaji mzuri, ana kasi pia anajua kufunga naamini ataisaidia timu.”

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.