MVP na Mfungaji bora wa Ligi Kuu ya NBC kwa msimu wa 2022/23 Fiston Kalala Mayele, amejiunga na matajiri wa Misri klabu ya Pyramids FC akitokea Yanga. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.
Usiku wa kuamkia Julai 31, 2023 klabu yake mpya ilimtambulisha rasmi, huku Yanga nao wakimtakia kila la kheri katika maisha yake mapya ya soka.
Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Uongozi wa klabu hiyo hawakutaka kuweka wazi ni dau gani limetumika kumsajili nyota huyo aliyekuwa na mkataba na klabu ya Yanga, lakini vyanzo vingi vinabainisha kwamba Yanga wamevuta mzigo mrefu kutokana na dili hilo kukamilika.
Mayele inaelezwa amesajiliwa kwa takribani Tsh Bilioni 2 na mshahara wake kwa mwezi unakadiriwa kuwa Tsh mil 80 za kitanzania.
Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.
Tayari Yanga wameshatafuta mbadala wa Mayele ambaye ni mshambuliaji wa kimataifa wa Ghana anaitwa Hafiz Konkoni mwenye uwezo wa kufunga mabao na urefu wa futi 6 kitu kinachomfanya kuwa na faidia ya kufunga mipira ya vichwa. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.