Namungo Yazidi Kuididimiza Dodoma Mkiani

Klabu ya Namungo FC ya mkoani Lindi imezidi kuididimiza klabu ya Dodoma Jiji kunako chini ya msimamo wa ligi baada ya kuitandika kwa bao 1-0 katik uwanja wa Liti huko Singida.

 

Namungo Yazidi Kuididimiza Dodoma Mkiani

Bao hilo la kuikandamiza Dodoma Jiji limefungwa na Abdulrazack katika kipindi cha pili baada ya dakika 45 za mwanzo kumalizika kwa bila kufungana ndipo waliporejea kipindi cha pili ubao ukasomeka tofauti.

Namungo sasa wanajipatia ushindi wao tano baada ya kupitia kipindi kigumu cha kwenda mechi tatu mfululizo kwa kupoteza na hii leo wakiwa wageni wa Dodoma wamejipatia pointi tatu muhimu.

Namungo Yazidi Kuididimiza Dodoma Mkiani

Licha ya kupata ushindi huo Wauaji wa Kusini wamesalia kwenye nafasi ileile ya nane wakati Dodoma wao hali ikizidi kuwa mbaya wamesalia kwenye nafasi yao ya 15 huku wakiwa hawana uhakika wa kusalia Ligi kuu msimu huu.


Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

BONYEZA HAPA KUCHEZA

 

 

PAN

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.