Klabu ya Azam FC yaifuata Namungo Lindi ambapo wanatarajia kucheza mchezo wao wa ligi kuu ya NBC hapo kesho majira ya saa 1:00 usiku katika Uwanja wa Majaliwa.

 

Azam, Azam Yaifuata Namungo, Meridianbet

Azam wao chini ya kocha wao Kally Ongala wameshinda mechi tano mfululizo wakiwa nafasi ya pili mpaka sasa na pointi zao 26, michezo 12 mpaka sasa wamecheza ushindi mara nane, sare mbili, na kupoteza mara mbili.

Wakati kwa wauaji wa Kusini Namungo wao wametoka kupoteza mechi mbili mfululizo, wakiwa katika nafasi 8 mpaka sasa na pointi zao 15, michezo 11 wamecheza ushindi mara nne, sare tatu na kupoteza mara 4.

Tofauti ya Azam na Namungo ni pointi 11 pekee na pia mwenyeji anaongoza mchezo mmoja mkononi, huku kumbukumbu za mwisho za wawili hawa kukutana wanalambalamba waliondoka na pointi 3 wakiwa ugenini.

Azam, Azam Yaifuata Namungo, Meridianbet

Je inaweza kuwa ni mechi nyingine ya sita kwa kocha Ongala kujipatia ushindi mnono akiwa ugenini? Namungo watakubali kupoteza mechi ya 3 mfululizo?.

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

 

 

Azam, Azam Yaifuata Namungo, Meridianbet

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa