Wakati ligi kuu ya NBC ikiendelea na timu zingine kuendelea kufanya vizuri, mambo bado ni magumu kwa klabu ya Ihefu ambayo bado inahangaika kupata pointi tatu muhimu ambazo zitamuondoa nafasi aliyopo.

 

Je Ihefu Atachomoka kwa Coastal Union Kesho?

Ihefu anatarajia kumkaribisha Coastal Union hapo kesho katika mwendelezo wa Ligi, huku taarifa zikitoka kuwa uwanja wa Mbarali wanaoutumia Ihefu kufungiwa kutokana na kutokidhi vigezo vya kuchezewa mpira.

Hivyo TFF imeupeleka mchezo huo katika uwanja wa Sokoine ili uwanja huo ufanyiwe marekebisho na uweze kutumika hapo baadae.

Coastal Union ya Tanga wao wapo nafasi ya 11 baada ya kuchezo michezo kumi, wamejishindia michezo mitatu, sare tatu, pia wamepoteza michezo minne na wamejikusanyia pointi 12 hadi sasa.

Je Ihefu Atachomoka kwa Coastal Union Kesho?

Wenyeji wao ndio wanashikilia mkia huku wakiwa wameshinda mchezo mmoja tu toka ligi ianze sare mbili na kupoteza mara 8 tu, huku wakiwa na pointi zao 5 ambazo ni chzche na wamejiweka kwenye hatari ya kushuka daraja.

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

 

 

Ihefu, Je Ihefu Atachomoka kwa Coastal Union Kesho?, Meridianbet

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa