Kocha msaidizi wa Dodoma Jiji Kassim Liogope amesema kuwa anataka kuendeleza ushindi wao kuelekea mechi yao ya Jumanne watakayocheza dhidi ya Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi.

 

Dodoma Jiji Yataka Kuendeleza Ushindi

Dodoma Jiji wanatarajia kuwaalika Yanga baada ya kutoka kupata ushindi mechi yao iliyopita na kuwafanya wajikusanyie pointi 9 katika ligi baada ya kucheza michezo 11 wanaamini kuchukua pointi hizo siku ya Jumanne.

Ndani ya michezo hiyo waliyocheza wameshinda michezo miwili, sare tatu na wamepoteza michezo sita kitu ambacho sio kizuri kutokana na ugumu wa ligi wa sasa. Wakati kwa upande wa Young Africans wao ndio vinara wa ligi.

Yanga ndio timu pekee ambayo haijapoteza mchezo wowote kwenye Ligi hadi sasa wakiwa wamejikusanyia pointi 26 kileleni sawa na Azam japokuwa wana mchezo mkononi ambao hawajacheza.

Dodoma Jiji Yataka Kuendeleza Ushindi

Katika michezo minne waliyowahi kukutana, Dodoma amepata sare moja tuu na amepoteza michezo mitatu mbele ya mabingwa.

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

 

 

Dodoma, Dodoma Jiji Yataka Kuendeleza Ushindi, Meridianbet

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa