Simba Kujiuliza Dhidi ya Tabora United United Leo

Vilevile leo hii mechi nyingine itakuwa pale Azam Complex ambapo Simba atakuwa mwenyeji wa Tabora United kwenye mechi yake ya 24.

Simba Kujiuliza Dhidi ya Tabora United United Leo

Simba chini ya Juma Mgunda wanaifukuzia nafasi ya pili kwenye kabla msimu kumalizika ili washiriki michuano ya ligi ya mabingwa Afrika msimu ujao ambapo mechiiliyopita wametoka kushinda.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Tabora United wapo nafasi ya 15 yaani nafasi ya pili kutoka mwisho wakikusanya pointi tatu pekee huku kwenye mechi zao 5 za mwisho wakiwa hawajashinda hata mechi moja, huku kwenye ligi wakishinda nne pekee.

Simba Kujiuliza Dhidi ya Tabora United United Leo

Timu hiyo ambayo imepanda ligi kuu msimu huu wamekuwa na mwendelezo mbovu wa matokeo ambapo mpaka sasa wamepoteza michezo yao tisa na kutoa sare 11 na kufanikiwa kukusanya pointi 23.

Mechi ya kwanza wlaipokutana na Simba wakiwa nyumbani kwao, walipigika vibaya sana. Je leo hii wanaweza kumzuia Mnyama kuchukua pointi zake 3?. Beti mechi hii sasa mbayo imepewa ODDS 1.14 kwa 9.80.

Acha ujumbe