SIMBA NA AZAM JOTO LIKO JUU KUELEKEA MCHEZO WAO

ULE mchezo unaosubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki Bongo Mzizima Dabi kati ya Simba dhidi ya Azam Fc umepangiwa tarehe na sasa siku zinahesabika kufika muda wa wababe wawili kusaka ushindi.

Ni Mzizima Dabi inatarajiwa kuwa Mei 9 kwa wababe wawili Azam FC kumenyana na Simba.simbaIkumbukwe kwamba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 1-1 Azam FC.

Bao la Simba lilifungwa na Clatous Chama na bao la Azam FC lilifungwa na mwamba Prince Dube.

Kazi itakuwepo kwa wababe hao wawili kwa kuwa kila mmoja anapambania kupata pointi tatu mbele ya mpinzani wake.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.