Azam Ugenini Leo Dhidi ya Mtibwa Sugar

Mechi nyingine leo hii itakuwa ni kati ya Azam Fc dhidi ya Mtibwa Sugar ambao ndio vibonde wa ligi hadi sasa. Mchezo huo utapigwa leo hii katika dimba la Manungu kule Morogoro majira ya saa 10:00 jioni.

Azam Ugenini Leo Dhidi ya Mtibwa Sugar

Ikumbukwe kuwa Azam yupo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi na anataka kucheza ligi ya mabingwa msimu ujao hivyo mchezo huu wa leo ni muhimu sana kwake kushinda ili amalize nafasi hiyo ya pili.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Wanalambalamba wana pointi zao 54 huku kwenye mechi zao 5 za mwisho wameshinda mechi tatu na kutoa sare mbili, wakati kwa upande wa Mtibwa wao mechi zao tano za mwisho wampoteza tatu na kutoa sare mbili.

Azam Ugenini Leo Dhidi ya Mtibwa Sugar

Mtibwa Sugar hali ni tete huku mara ya mwisho kwa wao kushinda ilikuwa ni mwezi Machi walipokuwa nyumbani kwao. Je leo hii wanaweza kumshangaza Azam ambaye ameonekana kujipata?

Mechi hii imepewa ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 pale Meridianbet, hivyo ingia na usuke jamvi lako sashivi ili ujiweke kwenye mafasi ya kuwa Milionea leo.

 

 

 

Acha ujumbe