Ihefu Kukiwasha na Namungo Leo

Ligi kuu ya NBC kuendelea hii leo kwa michezo minne ambapo mchezo wa mapema kabisa ni huu wa mwenyeji Ihefu dhidi ya Namungo majira ya saa 8:00 mchana katika dimba la Liti huko Singida.

Ihefu Kukiwasha na Namungo Leo

Ihefu yupo nafasi ya 12 baada ya kucheza michezo yake 24 akijikusanyia alama zake 25 baada ya kushinda mechi zake sita, sare saba na kupoteza mara 11 hadi sasa. Mechi tano za mwisho hajashinda hata moja.

Wakati kwa Namungo wao wapo nafasi ya 11 wakiwa na pointi zao 27 tofauti ya pointi kati yao ni mbili pekee, kwenye mechi tano za mwisho wameshinda moja pekee wakipoteza tatu na sare moja huku wakishinda sita, sare tisa na kupoteza 9.

Ihefu Kukiwasha na Namungo Leo

Mechi ya mkondo wa kwanza walipokutana, Namungo aliondoka na ushindi mnono pale nyumbani kwake. Je leo hii Mwenyeji aliyehamisha makazi yake kutoka Mbeya anaweza kulipa kisasi na kukusanya pointi tatu?

Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda mgeni akiwa na ODDS 2.33 kwa 2.84. Suka mkeka wako sasa na ubeti mechi hii.

Acha ujumbe